MCHENGERWA AKUTANA NA MENEJIMETI YA TAMISEMI
MzalendoMar 13, 2025Read original
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa mapema leo amekutana na Menejimenti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kujadili mikakati mbalimbali ya Wizara na namna itakavyochochea ukuaji wa maendeleo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 13.03.2025 Kwenye Ukumbi wa Wizara ulipo Mtumba jijini Dodoma.